Mwanamuziki Nakaaya Sumari, anayetamba na wimbo wa Mr.Polition akiimba kwa hisia katika onyesho la kuwasindikiza wanamuziki Kci & Jojo kutoka Marekani usiku wa kuamkia pasaka jijini Dar es Salaam kwenye show yao ya kwanza iliyofanyika Hotel Movenpic.
Mwanamuziki Jacqueline Ntuyabaliwe a.k.a ‘K-Lyinn’ akifanya vitu vyake na mashabiki katika onyesho la kuwasindikiza wanamuziki kutoka marekani Kci & Jojo lililofanyika usiku wa kuamkia pasaka jijini Dar es Salaam ndani ya Hotel Movenpick.Jojo akionyesha makali yake ambayo wengi waliyakubali katika usiku huo wa mkesha wa Pasaka. Nae KCI hakuwa nyuma kuwapungia washabiki mara baada ya kukamua nyimbo kadhaa.

Mashabiki nao hawakuwa nyuma katika kuwashangilia wanamuziki hao wa kimataifa, kila wakati ilikuwa miluzi na shangwe.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: