Friday, December 11, 2009

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2009 OVYO.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Prof.Jumanne Maghembe. Akitangaza Matokeo hayo Prof. Maghembe alisema kuwa mkoa wa kwanza kwa ufaulu ulikuwa ni Dar-es-salaam, ukifuatiwa na Arusha na watatu ukiwa ni mkoa wa Iringa. Kwa ujumla wake matokeo ya mwaka huu yameshuka kwa takribani asilimia 3 ukilinganisha na yale ya mwaka jana.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu