Friday, September 30, 2011

SHEREHE YA HARUSI YANGU CATHBERT ANGELO KAJUNA NA MKE WANGU BI. ESTER PROSPER ULAYA ILIVYOFANASherehe hii ya harusi yetu ilifanyika katika ukumbi wa hoteli ya Mbezi Garden jijini Dar es Salaam.

8 comments :

Subi said...

Ilipendeza sana. Hongera kwenu!

Anonymous said...

hakika Mlipendeza sana. mungu yupo nanyi

Hilda said...

Duu mwenzenu nishakuwa tejaaa wa hizi picha kila saa naangalia tuuu jinsi mlivyopendeza lol.... Mlinogajeeee!!!! Damu ya Yesu na iwalinde mng'ae hivyo daima milele. Amin

Anonymous said...

hongera kwa kuoa kaka make it a committment as yuo swor infront of almighty God.God bless yuor marriage hope nasi tutaiga mfano mzuri kama huu beatrice.

Peter. said...

Super Super wedding i can't believe i missed this one.Lovely couples indeed.CA& EA wafanana kama shilingi kwa ya pili.Long live CA&EA and GOd bless u .

Anonymous said...

du hongereni xana mlipendezajeeeeee natamani na mm cku yang ifike haraka ndoa raha jamn haswa mkipendana

deogratiusruwaichimosha said...

it was nice and love.

Anonymous said...

Mpambaji noma naomba kumjua tafadhali

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu