Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  akimwelekeza mmoja wa vijana waliojitokeza katika mafunzo ya mchezo wa masumbwi, Roger Musami jinsi ya kumzohofisha mpinzani wakati wa mchezo kwa kupangua ngumi zake kwa kiwiko wakati wa mazoezi yaliyofanyika ufukwe wa GYKHANA Dar es salaam jana.
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  akimwelekeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi ya kupiga ngumi uku akiwa amejikinga kwa kutumia bega uku ngumi yake ikiwa imenyooka wakati wa mazoezi yaliyofanyika ufukwe wa GYKHANA Dar es salaam jana.
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  akimwelekeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi yakupangua ngumi za mpinzani wakati wa mazoezi yaliyofanyika ufukwe wa GYKHANA Dar es salaam jana.
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  akimwelekeza bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' jinsi kupiga ngumi za tumbo huku akiwa ameingia ndani kwa mashambulizi zaidi wakati wa mazoezi yaliyofanyika ufukwe wa GYKHANA Dar es salaam jana Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  akiwaelekeza vijana waliojitokeza katika mazoezi jinsi ya kupiga ngumi za tumbo na kuingia ndani kwa mashambulizi zaidi.
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akiwa katika picha ya pamoja na vijana waliojitokeza katika mazoezi ya ngumi ufukwe wa GYKHANA Dar es salaam jana.

Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akiwa katika picha ya pamoja na vijana waliojitokeza katika mazoezi ya ngumi ufukwe wa GYKHANA Dar es salaam jana. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: