Thursday, October 8, 2015

AIRTEL YAZINDUA OFA YA INTANETI YA BILA KIKOMO

 Mkuu wa Huduma za Intaneti wa Airtel Tanzania, Gaurav Dhingra (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati akizindua ofa kabambe ya “ Yatosha Nyts Intaneti bila kikomo”, ambayo itamwezesha mteja kuperuzi intaneti bila kikomo wakati wa usiku kila siku. Kushoto ni Afisa Masoko wa Kitengo cha Intaneti, Erick Daniel na Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde.
 Afisa Masoko wa Airtel Kitengo cha Intaneti, Erick Daniel (kushoto) akionyesha jinsi ya kutumia huduma ya ofa kabambe ya “ Yatosha Nyts Intaneti bila kikomo”, ambayo itamwezesha mteja kuperuzi intaneti bila kikomo wakati wa usiku kila siku, baada ya kuzinduliwa jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkuu wa Huduma za Intaneti wa Airtel Tanzania, Gaurav Dhingra na Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde.
Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa ofa kabambe ya “ Yatosha Nyts Intaneti bila kikomo”, ambayo itamwezesha mteja kuperuzi intaneti bila kikomo wakati wa usiku kila siku. Katikati ni Mkuu wa Huduma za Intaneti wa Airtel Tanzania, Gaurav Dhingra na Afisa Masoko wa Kitengo cha Intaneti, Erick Daniel.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu