Monday, October 26, 2015

DAR ES SALAAM YAPOOZA...

 Hali imekuwa shwari katika Jiji la Dar es Salaam hasa wakati wa upigaji kura kuwachagua madiwani, wabunge na Rais wa Awamu ya Tano. Jiji hilo lenye pilikapilika nyingi za maisha mfukuto mkubwa wa kisiasa lakini hali haikuwa hivyo bali ilitawaliwa na amani kila mahala. Pichani ni baadhi ya barabara zikiwa hazina misururu ya magari na vyombo vingine vya moto kama ilivyozoeleka.
 Hali ilivyokuwamchana wa leo  katika barabara za Morocco na Morogoro eneo la Magomeni Dar es Salaam.
 Kwenda Kinondoni kutoka Magomeni Mataa.
 Kwenda Ilala, eneo la Mataa Magomeni.
 Eneo la Banana Jimbo la Ukonga Dar.
Hata wafanyabiashara hawakuwepo Banana, Ukonga Dar.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu