Friday, October 16, 2015

DK. JOHN MAGUFULI AENDESHA MKUTANO GOMBANI PEMBA, ZANZIBAR

Mgombe Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufulu akizumgumza na Wananchi na WanaCCM wa Kisiwani Pemba leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM zilizofanyika katika uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chake chake Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wanachama wa CCM na Wananchi wa Kisiwani Pemba leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za kumnadi Mgombe Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli  katika uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chake chake Pemba.
Maelfu ya wanaCCM waliofurika katika uwanja wa Gombani yakale Wilaya ya Chake chake Pemba wakimshangilia Mgombe Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM kuomba Ridhaa ya kuchaguliwa katika nafasi ya kuiongoza Tanzania.
Maelfu ya wanaCCM waliofurika katika uwanja wa Gombani yakale Wilaya ya Chake chake Pemba wakimsikiliza Mgombe Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli alipokuwa akitoa sera za CCM leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM kuomba Ridhaa ya kuchaguliwa katika nafasi ya kuiongoza Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiteta jambo na Mgombe Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za kumnadi katika uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chake chake Pemba.
Mwenyekiti wa Jumuiya yaWazazi Taifa Abdalla Bulembo pia akiwa Kiongozi wa Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli akiwasalimia wanaCCM katika mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyikaleo katika uwanja wa Gombaniyakale wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
Miongoni mwa maelfu ya wanaCCM wakimsikiliza Mgombe Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli alipokuwa akitoa sera za Chama cha Mapinduzi CCM leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM kuomba Ridhaa ya kuchaguliwa katika nafasi ya kuiongoza Tanzania.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu