Saturday, October 3, 2015

DKT. GHARIB BILAL ATEMBELEA BANDA LA FASTJET MAONYESHO SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (SITE)

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt . Gharib Bilal akitambulishwa kwa wafanyakazi wa Fastjet na Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati wakati wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo (SITE) Jijini Dar Es Salaam.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe.Dkt . Gharib Bilal akibadilishana mawazo na Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati wakati wa maonesho ya Swahili International Tourism Expo (SITE) Jijini Dar Es Salaam.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt . Gharib Bilal akikata utepe kuzindua rasmi maonesho ya Swahili International Tourism Expo (SITE) Jijini Dar Es Salaam.
 
Wafanyakazi wa Shirika la ndege la Fastjet wakiwa kwenye pozi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu