Wednesday, October 7, 2015

LOWASSA AHANI MSIBA WA MZEE KISUMO, KIJIJINI KWAKE USANGI, MKOANI KILIMANJARO

1

Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi  ya Chadema,Mh. Edward Lowassa akiweka shada la maua katika kaburi la  aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo,  alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa Familia ya Kisumo, Usangi,  wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6, 2015
3
Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi  ya Chadema,Mh. Edward Lowassa, akisaini kitabu cha maombolezo, wakati  alipofika kuhani msiba wa aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini,  Marehemu Mzee Peter Kisumo, alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa  Familia ya Kisumo, Usangi, wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6,
2015
4
Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi  ya Chadema,Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Kaka wa Marehemu Mzee  Peter Kisumo, Mzee Daniel Mchangila, wakati alipofika kuhani msiba  wa aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter  Kisumo, alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa Familia ya Kisumo, Usangi, wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6, 2015. Kulia ni Mama Mdogo wa Marehemu Mzee Kisumo, Bi. Nashati Mbawa.Picha na Othman Michuzi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu