Wednesday, October 7, 2015

MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA WA TIGO YAENDELEA

Msimamizi mkuu wa Duka la Tigo Nkurumah, Lulu Kikuli akimkabidhi zawadi simu Grace Joachim mkazi wa Tandale ikiwa ni sehemu maadhimisho ya wiki ya wateja wa Tigo
Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, akiwakabidhi fulana wateja wa tigo kwenye maadhimisho ya wiki ya wateja yaliyofanyika Dula la Tigo Nkurumah.
Mtaalam wa huduma kwa wateja wa Tigo Jackson Jerry (kushoto), Meneja wa Kitengo huduma kwa Wateja Tigo, Halima Kasoro (katikati) na Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Mwangaza Matotola (kulia)wakiwa kwenye picha ya pamoja
Meneja wa ubora huduma kwa wateja wa Tigo Bi. Mwangaza Matotola, akimkabidhi fulana mteja wa Tigo Nickson Mbwambo mkazi wa Mabibo, kwenye maadhimisho ya wiki ya wateja yaliyofanyika Duka la Tigo Nkurumah.
Mwandishi wa habari wa TV1 Robert Latonga akifanya mahojiano na mteja wa Tigo, Hamadi Maliwata mkazi wa Mbagala kwenye maadhimisho ya wiki ya wateja wa Tigo.
Mteja wa Tigo Zenah Hamdi mkazi wa Tandika, akipata huduma toka kwa Mtoa huduma wa Kampuni ya Tigo.
Msimamizi mkuu wa Duka la Tigo Nkurumah, Lulu Kikuli akifanyiwa mahojiano na Mwandishi wa habari wa TV1 Robert Latonga

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu