Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akiwa na Mgombea ubunge Jimbo la Vunjo kupitia CCM, Innocent Shirima wakiwapungia mikono wananchi walipokuwa wakiwasili kwenye mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Polisi wa Himo, Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro.
 Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Vunjo, Innocent Shirima mjini Himo
Mgombea ubunge Jimbo la Vunjo kupitia CCM, Innocent Shirima, akikana mbele ya wananchi na Dk Magufuli uvumi uliozagaa kwamba anataka kuihama CCM kwenda Ukawa wakati wa mkutano wa kampeni katika mji wa Himo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: