Sunday, October 11, 2015

MGOMBEA WA URAIS WA CCM DK SHEIN AWAHUTUBIA WANANCHI WA MTAMBWE

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Mtambwe wakati wa mkutano wake wa kampeni kisiwani Pemba uliofanyika katika viwanja vya makoongeni mtambwe na kuhudhuria na wananchi wengi wa jimbo hilo. 
 Wananchi wa Mtambwe Pemba wakimsikiliza Dk Shein, wakati akiwahutubia na kuomba kura kwa wananchi hao ili kuleta maendeleo kwa Wanamtambwe katika sekta mbalimbali za kiuchumi.Wanachama wa CCM wakimsikili Mgombea Urais wa CCM Dk Shein, akiwahutubia wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya makoongeni Mtambwe Wilaya ya Wete Pemba.

Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein akiwahutubia Wananchi wa Jimbo la Mtambwe katika mkutano wake wa kampeni kisiwani Pemba uliofanuika viwanja vya makoongeni na kutoa ahadi katika kipindi chake cha Pili cha Urais wa Zanzibar, akiingia madarakani mwaka wake wa kwanza Elimu ya Sekondari itakuwa bure na miaka miwili ya Uongozi wake Matatibabu Zanzibar yatakuwa Bure kwa Wananchi wa Zanzibar.
Wanachama wa CCM wakimsikili Mgombea Urais wa CCM Dk Shein, akiwahutubia wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya makoongeni Mtambwe Wilaya ya Wete Pemba.
Vijana wa Jimbo la Mtambwe wakifuatilia hutuba ya Mgombea wa Urais wa Zanzibar Dk Shein wakati wa mkutano wake wa Kampeni uliofanyika katika viwanja vya makoongeni mtambwe Pemba.

Wanachama wa CCM wakimsikili Mgombea Urais wa CCM Dk Shein, akiwahutubia wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya makoongeni Mtambwe Wilaya ya Wete Pemba.
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha Wagombea Ubunge wa Wilaya ya Wete Pemba wakati wa Mkutano wake wa Kampeni uliofafanyika katika viwanja vya mpira makoongeni Jimbo la Mtambwe Pemba.
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha Wagombea Uwakilishi wa Wilaya ya Wete Pemba wakati wa Mkutano wake wa Kampeni uliofafanyika katika viwanja vya mpira makoongeni Jimbo la Mtambwe Pemba.
Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwatambulisha Wagombea Udiwani wa Wilaya ya Wete Pemba wakati wa Mkutano wake wa Kampeni uliofafanyika katika viwanja vya mpira makoongeni Jimbo la Mtambwe Pemba
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa CCM wakiitikia dua baada ya kumaliza mkutano wake wa kampeni ya kugombea Urais wa Zanzibar uliofanyika katika viwanja vya mpira makoongeni Jimbo la Mtambwe Pemba.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu