Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kwa wananchi na wanaCCM wakati alipokuwa akimuombea kura katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM Uliofanyika leo Uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi na wanaCCM wakati alipowasalimia wakati wa mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM Uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja leo katika zilizohudhuriwa na Maelfu ya Wazanzibar na kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuiongoza Tanzania kupitia Chama chake cha CCM.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na maelfu ya Wanachama wa CCM na wananchi waliohudhuria katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM mkutano wa aina yake uliofanyika leo katika uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi Mzee Ali Hassan Mwinyi akizungumza na Maelfu ya wanaCCM waliohudhuria katika Uwanja wa Mnazi Mmoja leo katika mkutano wa kampenzi za CCM,ambapo aliwaaomba wanahama hao kuwachagua Viongozi wote wa CCM walioomba nafasi za Uongozi kuwachagua kwa kura nyingi kupelekea ushindi kwa CCM.
Wanachama wa wakiwa karibu na bango linalotoa ujumbe"UVCCM WILAYA YA MFENESINI TUJIPANGA CCM USHINDI NI LAZIMA"wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika leo katika uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja.
Maelfu ya WanaCCM wakiwa wametulia kusikiliza sera zilizotolewa na Viongozi wa Chama hicho leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika leo katika uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja,mkutano uliowaombea wagombea kura za kuchaguliwa na kushinda katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015.
Vijana wa Chama cha Mapinduzi wakisimama na kuonesha picha mbali mbali akiwemo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli wakati wa mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM zilizofanyika leo Uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja ambazo zilizohudhuriwa na Maelfu ya Wazanzibar na kuahidi kuwachagua Viongozi wa CCM na Kupelekea ushindi kwa Chama hicho.
Maelfu ya WanaCCM wakinyoosha mikono juu kuunga mkono sera zilizotolewa na Viongozi wa Chama hicho leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika leo katika uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja,mkutano uliowaombea wagombea kura za kuchaguliwa na kushinda katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi na wanaCCM wakati alipokuwa akiingia katika Uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja leo katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na Maelfu ya Wazanzibar.
Maelfu ya WanaCCM wakinyoosha mikono juu kumuunga mkono Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika mkutano wa hadhara wa kampeni za Chama hicho zilizofanyika leo katika uwanja wa Mnazi Mmoja Mjini Unguja,mkutano uliowaombea wagombea kura za kuchaguliwa na kushinda katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: