Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Bw. Robert Jaran (kushoto), akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa Wana hisa uliofanyika Dar es Salaam jana. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TBL, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya, Katibu, Bw. Huruma Ntahena na Mkurugenzi wa fedha TBL, Bw. Kenn O'flahenty.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Waziri Mkuu wa zamani Bw. Cleopa David Msuya akisoma ripoti ya mwaka 2015, wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa Wana hisa kampuni hiyo uliofanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Tanzania, Bw. Robert Jaran.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, baada ya Mkutano Mkuu 42 wa Wana Hisa wa kampuni hiyo. Kushoto ni Mkuregenzi Mtendaji wa TBL, Bw. Robert Jaran na Katibu Bw. Huruma Ntahena.
Baadhi ya Wana hisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TBL, Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya (hayuko pichani) wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa wana hisa hao uliofanyika Dar es Salaam
Baadhi ya Wana hisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TBL, Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya (hayuko pichani) wakati wa Mkutano Mkuu wa 42 wa wana hisa hao uliofanyika Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: