Thursday, October 8, 2015

MWENYEKITI WA CHAMA CHA DP. MAREHEMU CHRISTOPHER MTIKILA AZIKWA KIJIJINI KWAKE MILO, LUDEWA

 Mkuu  wa mkoa wa Njombe Dr Rehema Nchimbi kulia akiwa na Deo Filikunjombe mgombea  ubunge jimbo la Ludewa na mbunge aliyemaliza muda  wake katikati kushoto ni msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi leo  wakati wa mazishi ya Mchungaji Mtikila.
 Mchungaji Patrick Mgaya aliyekuwa  safari moja na marehemu Mtikila wa pili kulia akiwa katika mazishi hayo.
 Waombolezaji wakiwa msibani.
 Filikunjombe akitoa salamu zake wakati wa mazishi ya Mtikila 
 Wananchi wakimsikiliza Filikunjombe.
 Filikunjombe akiwasili msibani kwa chopa 
 Jaji Francis Mutungi kushoto Bw MGaya na Askofu Mtetemela na Filikunjombe wakiwa msibani 
 Filikunjombe akijiandaa kubeba jeneza 
 Mjane  wa Mtikila  akiweka shada la maua 

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu