Thursday, October 15, 2015

NYERERE DAY ILIVYOBAMBA NDANI YA KIOTA CHA BURUDANI MAMIZ GATE WAY JIJINI MWANZA

Jana ilikuwa ni mapumziko kwa Watanzania ikiwa ni kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Mwasisi wa Taifa la Tanzania hayati baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere aliefariki dunia Octoba 14,1999

Katika kuwajali wakazi wa Jiji la Mwanza, Mamiz Grand Resort pamoja na Mamiz Gate Way zilizopo Mkolani ziliwakutanisha watanzania pamoja na kuketi kwa ajili ya kutafakari siku hiyo.
Kulikuwa na Live Band kutoka kwao Wasamalia Band. Kutana nao ndani ya Mamiz Gate Way kila Jumatano na Ijumaa, Pia kila Jumamosi na Jumapili ndani ya Mamiz Grand Resort
Kulikuwa na Live Band kutoka kwao Wasamalia Band. Kutana nao ndani ya Mamiz Gate Way kila Jumatano na Ijumaa, Pia kila Jumamosi na Jumapili ndani ya Mamiz Grand Resort.
Ndugu, Jamaa na Marafiki walijumuika ndani ya Mamiz Grand Resort pamoja na Mamiz Gate Way Mkolani Jijini Mwanza
Chakula safi ndani ya Mamiz Gate Way Mkolani
Msosi safi ndani ya Mamiz Gate Way
Mamiz Grand Resort na Mamiz Gate Way zilizopo Mkolani zinakidhi mahitaji yako.
Bonyeza HAPA Kujionea ndani ya Mamiz Grand Resort.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu