Saturday, October 10, 2015

POSTA WAADHIMISHA SIKU YA POSTA DUNIANI JIJINI DAR

Wafanyakazi na wadau wa Shirika la Posta nchini (TPC), wa ndani na nje ya nchi wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani kwenye jengo la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar es Salaam leo. Maadhimisho hayo, huadhimishwa duniani kote Oktoba 9. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)  

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Elia Madulesi (kulia), akiteta jambo na mmoja wa Maofisa wa shirika hilo, wakati wa kongamano la maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani jijini leo.

Wafanyakazi na wadau mbalimbali wa Shirika la Posta nchini (TPC), wa ndani na nje ya nchi wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani kwenye jengo la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar es Salaam leo. Maadhimisho hayo, huadhimishwa duniani kote Oktoba 9. 

Mwenyekiti wa Bodi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), Salimin Salmin, akizungumza wakati wa maadhimisho hayo, kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Mwasiliano, John Mngodo kulifungua kongamano hilo.

Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Mwasiliano, John Mngodo akilifungua kongamano hilo.

Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Mwasiliano, John Mngodo akizungumza wakati akilifungua kongamano hilo.

Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Mwasiliano, John Mngodo akizungumza na washiriki wa kongamano la maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani jijini leo. 

Wafanyakazi na wadau wa Shirika la Posta na TCRA, nchini, wa ndani na nje ya nchi wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani kwenye jengo la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar es Salaam leo. Maadhimisho hayo, huadhimishwa duniani kote Oktoba 9. 

Wafanyakazi na wadau wa Shirika la Posta na TCRA, nchini, wa ndani na nje ya nchi wakiwa katika Kongamano hilo, la Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani jijini leo. 

Meneja Masoko wa TPC, David George (kulia), akiwa katika kongamano hilo.

Maofisa wa Shirika la Posta nchini (TPC), wakiwa katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, jengo la Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), jijini Dar es Salaam leo. Maadhimisho hayo, huadhimishwa duniani kote Oktoba 9. 

Meza Kuu: Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Mwasiliano, John Mngodo (wapili kushoto), akiwa pamoja na akiwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta barani Afrika (PAPU/UPAP, Younouss Djibrine wakati wa maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani jijini leo. 

Washindi wa shindano la kuandika Insha, wakiwa na zawadi na Tuzo zao walizokabidhiwa na Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakati wa kuwatunuku zawadi washindi katika maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, Dar es Salaam leo. 

Washindi wa shindano la kuandika Insha, wakiwa pamoja na wazazi wao, wakionesha zawadi na tuzo zao walizotunukiwa na Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakati wa maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, jijini Dar es Salaam leo. 

Kaimu  Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga (kulia) na Ofisa Uhusiano Mwandamizi Mkuu, Wilfred Miigo (kushoto), wakimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa shirika hilo, Elia Madulesi (katikati), wakati wa kongamano la maadhimisho hayo jijini leo. 

Kaimu  Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga (kulia) na Ofisa Uhusiano Mwandamizi Mkuu, Wilfred Miigo (kushoto), wakimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa shirika hilo, Elia Madulesi (katikati), wakati wa kongamano la maadhimisho hayo jijini leo.

Kaimu  Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, akimpongeza mshindi wa kwanza wa shindano la kuandika Insha, mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kifungilo, Irene Gindo wakati wa kuwatunuku zawadi washindi katika maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani, Dar es Salaam leo. Wengine ni mshindi wa tatu, Anna Nnko wa shule hiyo, mshindi wa pili, Anitha Mutarubukwa wa Seminari ya Wasichana ya St. Joseph, Mwanza na nyuma yao ni Ofisa Uhusiano Mwandamizi Mkuu wa TPC, Wilfred Miigo. 

Kaimu  Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, akimpongeza mshindi wa tatu wa shindano hilo, Anna Nnko wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kifungilo.
Kaimu  Postamasta Mkuu na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Fortunatus Kapinga, akimpongeza mshindi wa pili wa shindano hilo, Anitha Mutarubukwa wa Seminari ya Wasichana ya St. Joseph, Mwanza.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu