Friday, October 9, 2015

RAIS JK ATUNUKIWA MAKAZI YA KUDUMU NA MEYA WA JIJI LA MAPUTO


Mstahiki Meya wa Jiji la Maputo Mh.David Simango akimvisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete vazi maalum na kumkabidhi Ufunguo wa jiji la Maputo kama ishara ya kumtunuku ukazi wa kudumu wa heshima wa jiji hilo wakati wa hafla iliyofanyika katika Jumba la Halmashauri ya jiji la Maputo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu