Friday, October 16, 2015

RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZISHI YA DKT ABDALLAH KIGODA MJINI HANDENI, TANGA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo  nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji dada wa marehemu Dkt. Asha Kigoda  nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifarifi familia  nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili.
 Sehemu ya waombolezaji kwenye msiba huo.
 Spika Anne Makinda msibani hapo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wa serikali na wa kidini   nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 akiongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Waziri huyo aliyekuwa pia Mbunge wa Handeni kwa zaidi ya miongo miwili.
 Bw. Saidi Yakub akiendesha shughuli hiyo.
 Sehemu ya waombolezaji.
 Sehemu ya waombolezaji.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Uledi Mussa akisoma wasifu wa marehemu.
 Waombolezaji.
 Sehemu ya waombolezaji.
 Brigedia Jenerali Mstaafu  Ngwilizi akiongea machache kuhusu marehemu.
 Rais Kikwete akipeana mikono na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema ZanzibarSalumu Mwalimu, ambaye aliwakilisha UKAWA kwenye mazishi hayo.
 Ndg. Muhammad Seif Khatibu akisoma rambirambi za CCM .
 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe akitoa rambirambi za serikali.
 Waombolezaji knamama msibani hapo.
 Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally (mwenye kipaza sauti mkononi) akiongoza swala ya maiti.
 Rais Kikwete akiwa anaongozana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman akitoa pole kwa waombolezaji.
 Watumishi wa Bunge wakibeba jeneza lililo na mwili wa marehemu kuelekea kaburini.
 Mazishi.
 Mtoto wa marehemu akiweka udongo kaburini.
 Rais Kikwete akiweka udongo kaburini .
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman akiwa na Balozi wa Tanzania nchini India Mhe. John Kijazi kwenye mazishi hayo. PICHA ZOTE NA IKULU.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu