Monday, October 26, 2015

RAIS KIKWETE APIGA KURA KIJIJINI KWAKE MSOGA

1 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika foleni akisuburi zamu yake ya kupiga kura katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga kata ya Msoga wilayani Bagamoyo Oktoba 25, 2015.
2
Ofisa katika kituo cha kupigia kura katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga akihakiki kadi ya kupiga kura ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
3 4
Ofisa katika kitu cha kupiga kura akimkabidhi Rais Kikwete karatasi za kupiga kura.
5
                                   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiandika kura yake ya siri.
7 8
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura ya Rais Mbunge na Diwani katika kituo cha kupiga kura cha hospitali ya kijiji cha Msoga,Kata ya Msoga wilayani Bagamoyo Oktoba 25, 2015.
9
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwekwa wino na msimamizi wa kituo unaotambulisha kuwa amepiga kura.  (Picha na Freddy Maro).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu