Tuesday, October 6, 2015

TAASISI YA WANAWAKE WAHASIBU TANZANIA KUZINDULIWA JIJINI DAR

 Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake Wahasibu Tanzania (TAWCA), Neema Kiure- Mssusa (wa pili kulia), akiwaonesha waandishi wa habari cheti cha usajili wa taasisi hiyo Dar es Salaam, wakati wa mkutano uliohusu uzinduzi wa taasisi hiyo utakaofanyika leo Hoteli ya Hyatt Regence (Kilimanjaro Hoteli). Kutoka kulia ni Mratibu wa Taasisi hiyo, Rose Majuva, Mwenyekiti, Bahati Geuzye na mmoja wa waanzilishi wa taasisi hiyo, Anna Shanalingingigwa.
 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Mratibu wa Taasisi hiyo, Rose Majuva (kulia), akizungumza katika mkutano huo. Katikati ni  Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Bahati Geuzye na Mmoja wa waanzilishi wa taasisi hiyo, Anna Shanalingingigwa.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu