Thursday, October 8, 2015

TIGO YAENDELEA KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA AINA YAKE YA PEKEE

 
Mkuu wa kitengo cha biashara wa Tigo  Bw, Shavkat Berdiev akimkabidhi zawadi ya simu mteja  mmoja aliyetembelea duka la Tigo lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.
Mkuu wa kitengo cha huduma cha wateja Zakheem khan akifurahi pamoja na mteja aliyejipatia zawadi ya simu katika kusherekea wiki ya huduma kwa wateja zilizofanyika katika duka la Tigo lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam.
Meneja wa ubora  huduma  kwa wateja  wa  Tigo Bi. Mwangaza Matotola, akifurahi jambo na wateja wa Tigo  waliotembelea duka la tigo lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha biashara wa Tigo Shavkat Berdiev  na Mkurungezi wa mipango (Mtandao) wa Tigo Bi. Halima Idd wakigawa zawadi kwa wateja wote waliotembelea duka la Tigo Makumbusho jijini Dar es Salaam ambapo wateja wawili walifanikiwa kujinyakulia zawadi ya simu za kisasa.
Meneja  wa huduma kwa wateja wa Tigo Charles Gardner akimsikiliza mteja aliyetembelea duka la Tigo lililopo Makumbusho jijini Dar es Salaam.Mtaalam wa huduma kwa wateja wa Tigo Jackson Jerry akiongea na wafanyakazi na wateja wa Tigo  waliotmbelea duka la Tigo Makumbusho ikiwa sehemu ya kuadhimisha  wiki ya huduma kwa mteja.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu