Sunday, October 11, 2015

TIGO YASHIRIKI MATEMBEZI YA KUCHANGIA SARATANI YA MATITI

Afisa huduma za jamii wa Kampuni ya Tigo, May Thomas (kulia mwenye kitambaa kichwani) akishiriki matembezi ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti kwa akinamama yaliyodhaminiwa na kampuni hiyo Dar es Salam jana.
2-Washiriki wa matembezi ya hisani ya kuchangia fedha kwa ajili ya Saratani ya matiti kwa akinamama yaliyodhaminiwa na kampuni ya Tigo jijini Dar es Salam jana.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu