Wednesday, October 14, 2015

WAALIMU WANAWAKE WAOMBA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI KUTOA ELIMU KWA KUWATANGAZA WAGOMBVEA WOTE BADALA YAKUEGEMEA UPANDE MMOJA

Mkurugenzi wa TAWOTEA kushoto akitoa mafunzo ya uongozi wa upigaji kura katika semina ya siku  iliyofanyika lea Oct.14 katika hotili ya Kagame jiini Dar es Salaam.
 Mwl,Fatuma Kambi ambaye ni mwenyekiti wa TAWOTEA akisisitiza jambo wakati wa semina hiyo.
 Mshiriki Pamela Vigelo kutoka chama cha Haki na Ustawi CHAUSTA akitoa ufafanuzi katika semina hiyo.
 Picha ya pamoja ya washiriki wa semina iliyoandaliwa na TAWOTEA

Na Mwaandishi wetu NiccomediaTz

Asasi ya Tanzania Women Teacher’s Associatiaon (TWOTEA) wameomba wamiliki wa vyombo vya habari nnchini kutangaza au kuwanadi wagombea wote bila kuegemea upande mmoja kama baadhi ya vyombo vya habari vinavyofanya kwa hivi sasa.

Akizungmza wakati wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja ya mafunzo ya uongozi ,Jinsia na tatizo la Rushwa kwa wanawake katika hoteli ya Kagame Hoteli Ubungo.

Mkurugenzi wa TAWOTEA Mwl. Neema H.Kabale amesema kuna baadhi ya TV,Radio na magazeti wanatoa habari za mgombea mmoja.

Tunashangaa kwa sababu unakuta TV inangangania kutangaza habari ya mgombea mmja wakati wagombea wako wengi tunawaomba wamiliki wawatangaze wagombea wote ili kuwapa watanzania elimu ya kujua nani wampigie kura ,alisema Mwl.Neema.

Wakizungumza kwa wakati tofauti walimu walioshiriki katikaSemina hiyo mmoja wa Mwl.amesema wanashtushwa na vijana wanaorubuniwa kwa Sh.elfu kumi 10 na kuuzavitambulisho vyao kwa sababu ya njaa.

Semina hiyo imeudhuriwa na waalimu kutoka katika shule za msini kutoka wilaya la jiji la Dar-es-Salaam ambapo wameahidi kwenda kutoa elimu mara watakaporudi katika wilaya zao.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu