Wednesday, October 7, 2015

WANAFUNZI KUTOKA SHULE YA RUVU GIRLS WAPATA MAFUNZO YA UANDISHI

 Zuhura Tunde, mwanafunzi kutoka Ruvu girls Secondary school  akisikiliza kwa makini wakati wanafundishwa katika semina iliyoandaliwa na Soma Cafe hivi karibuni
 Neema Komba - Mwandishi, mshairi na mwalimu katika semina hii  iliyoandaliwa na Soma Cafe jijini Dar es Salaam akifundisha Uandishi wakibunifu.
 Wanafunzi kutoka Ruvu girls secondary school wakisoma kitabu wakiwa katika semina iliyoandaliwa na Soma Cafe na mwalimu Neema komba akiwasikiliza kwa makini. Wanafunzi ni Fatma Mohamed Namkape, Beatrice L Mmassa na Zuhura Tunde (kushoto - kulia).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu