Wednesday, October 14, 2015

WATOTO YATIMA WA KITUO CHA VALENTINE CHILDREN HOME WAPIMWA AFYA ZAO

Muhudumu wa afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo tandika Dar  es salaam Bi, Latifa Masasi wa pili   mpima mtoto Nuru Edward wa kituo  cha kulea watoto yatima cha Valentine children home kilichopo yombo buza kulia ni mtoto Clara Olimpia nae akihudumiwa na nesi Mary Hongoli.
Muhudumu wa afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo tandika Dar  es salaam Bi, Latifa Masasi wa pili akimpima afya mtoto Lovenes Masawe  kulia ni nesi Mary Hongoli.
watoto  waliojitokezwa kuletwa kwa ajili ya kupima afya na wazazi wao wakiwa
katika foleni ambapo jumla ya watoto waliojitokeza ni 230 ambao waliudumiwa na kupewa ushauli wa bure.
watoto wakiwa katika folerni ya kupimwa afya.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu