Tuesday, October 6, 2015

WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA WA TIGO

Mtoa huduma ya ufundi wa Intaneti ya Tigo, Gloria Minja akitoa huduma kwa wateja katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.
Msimamizi mkuu wa Duka la Tigo Makumbusho Gissela Akaro akimkabidhi mteja wa Tigo, Gideon Mapunda mkazi wa Mbezi Luis fulana ikiwa sehemu ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja.
Mtaalam wa huduma kwa wateja wa Tigo Jackson Jerry akiongea na wafanyakazi na wateja wa Tigo mara baada ya ufunguzi wa duka la Tigo lililokarabatiwa makao makuu ya Tigo Makumbusho ikiwa sehemu ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu