Wanafunzi kutoka Jangwani Secondary School wakisikiliza kwa makini katika tukio ya Andika na Soma hivi karibuni
Bi Demere Kitunga - Mkurugenzi wa Soma Book Cafe akizugumza na wageni waliokuja kwenye tukio ya Andika na Soma ivi karibuni
Bi Beatrice L Mmassa , Mshiriki aliyeudhuria training ya uandishi ( kushoto), Joram Nkya – Mwalimu, Judgi wa shindano la Andika na Soma (Katikati) na Bi. Demere Kitunga - Mkurugenzi wa Soma Book cafe wakiongelea maswala ya uandishi nchini Tanzania.
 Wanafunzi wakisoma shairi katika tukio la Andika na Soma
Bendi ya Grace Matata wakitoa burudani katika tukio hii ya Andika na Soma.
Fatma Mohammed akipokea cheti cha kuudhuria mafundisho ya uandishi. Amepewa chati na Elizabeth Mahenge – Professa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na pia alishiriki kama mwalimu wakati wa shindano la Andika na Soma, Madolin Dotto Kahimbi – Afisa Mipango katika taasisi ya Danish Centre for culture and development
Bi Beatrice Mmassa akipokea cheti cha kuudhuria mafundisho ya Uandisho hapo Soma Book cafe. Amepewa chati na Elizabeth Mahenge – Professa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na pia alishiriki kama mwalimu wakati wa shindano la Andika na Soma, Madolin Dotto Kahimbi – Afisa Mipango katika taasisi ya Danish Centre for culture and development
Zahara Tunda akipokea cheti cha kuudhuria mafundisho ya Uandishi hapo Soma book cafe. Amepewa chati na Elizabeth Mahenge – Professa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na pia alishiriki kama mwalimu wakati wa shindano la Andika na Soma, Madolin Dotto Kahimbi – Afisa Mipango katika taasisi ya Danish Centre for culture and development.
Mama Mzazi wa Brenda Mwingira (Baobab Secondary School) akipokea zawadi kwa niaba ya mtoto wake aliyeshinda vitabu vyake na fedha taslim.
Athuman Waziri akipokea zawadi ( Ndanda Boys Secondary School) kutoka kwa Soma na fedha taslim.
Zahara Tunda akipokea zawadi kutoka kwa Soma na fedha taslim.
Baada ya Zahara tunda kushinda tunzo ya mwandishi bora kwa mwaka 2014/15 akiongea na wanafunzi wenzake na kuwashukuru Soma.
Madam Ngowi - mwalimu kutoka ruvu Girls Secondary school akisema na wanafunzi na wageni walikwa walioudhuria tukio hilo ya Andika na Soma.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: