Sunday, November 22, 2015

BWANA JANUARY SYLVESTER NA BI. DEVITHA NGONYANI WAUAGA UKAPELA

Bwana Harusi January Sylvester wakifurahi na mkewe Bibi Devotha Ngonyani mara baada ya kufunga pingu za maisha (ndoa) jana November 21, 2015 katika kanisa la Kristu Mfalme, Parokia ya Tabata jijini Dar es Salaama. Sherehe ya kuwapongeza iliyofanyikia Mdaula, Pwani.
Bwana Harusi January Sylvester aakiwa na mkewe Bibi Devotha Ngonyani wakifurahia jambo pamoja na marafiki waliofika kuwasindikiza.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu