Sunday, November 8, 2015

BWANA MWEMEZI LWAKATARE AFUNGA NDOA NA BI. JENITHA RAYMOND MOSHA

 
Mchungaji akiwafungisha ndoa Bwana Harusi Mwemezi Lwakatare na Bi. Jenitha Raymond Mosha katika Kanisa la Kiinjili ya Kirutheri Tanzania (KKKT) Azania Front jijini Dar es Salaam.
Bwana Harusi Mwemezi Lwakatare na Bi. Jenitha Raymond Mosha  wakionyesha cheti mara baada ya kufunga ndoa mapema leo katika Kanisa la Kiinjili ya Kirutheri Tanzania (KKKT) Azania Front jijini Dar es Salaam.
Bwana Harusi Mwemezi Lwakatare akimpokea Bi. Jenitha Raymond Mosha mara baada ya kufika kanisani.
Furaha za ndugu, jamaa na marafiki waliofika kuhudhuria katika kanisa la Azania Front kushuhudia wakati wakifunga ndoa Bwana Harusi Mwemezi Lwakatare na Bi. Jenitha Raymond Mosha.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu