Saturday, November 28, 2015

CHAMPIONI YATUNUKU TUZO KWA WAANDISHI NA WAHARIRI WAKE

TUZO CHAMPIONI (15) 
MC wa hafla ya ugawaji tuzo, ambaye pia ni Mhariri wa Gazeti la Championi Jumamosi, Elius Kambili akitoa neno la utangulizi wakati wa shughuli hiyo.
TUZO CHAMPIONI (2)Mwenyekiti wa shughuli hiyo ambaye pia ni Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally akifungua rasmi hafla fupi ya utoaji tuzo kwa waandishi na wahariri wa Championi.TUZO CHAMPIONI (4)Mhariri wa Gazeti la Amani, Andrew Carlos (kushoto) akikabidhi tuzo ya Mwandishi Bora Chipukizi wa Championi kwa Omary Mdose.TUZO CHAMPIONI (7)Mhariri wa Gazeti la Uwazi Mizengwe, Hashim Aziz (kushoto) akikabidhi tuzo ya Msanifu Kurasa Bora wa Championi kwa Shafih Hashim.
TUZO CHAMPIONI (10)Mhariri Mwandamizi, Mzee Walusanga Ndaki (kushoto) akikabidhi tuzo ya Mwandishi Bora wa Championi kwa Wilbert Molandi.IMG_6876Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli akikabidhi tuzo ya Mpiga Picha Bora wa Championi kwa Richard Bukos.
TUZO CHAMPIONI (18)Ofisa Mauzo wa Global, Jordan Ngowi akikabidhi tuzo kwa Mhariri Bora wa Championi Kimauzo, Phillip Nkini.
TUZO CHAMPIONI (20)Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kushoto) akikabidhi tuzo ya Mhariri Bora kwa John Joseph.
TUZO CHAMPIONI (22) Mhariri wa Gazeti la Championi Jumatatu, Ezekiel Kitula (kushoto) akikabidhi picha maalum ya timu ya Championi kwa Abdallah Mrisho.TUZO CHAMPIONI (23)Abdallah Mrisho akitoa neno la shukrani kwa timu ya Championi.TUZO CHAMPIONI (24)Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli (kushoto) akikabidhi Tuzo Maalum ya Sapoti Bora ya Mzazi kwa Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo.TUZO CHAMPIONI (25) 
Eric Shigongo akizungumza na wafanyakazi wa Global (hawapo pichani).TUZO CHAMPIONI (13)TUZO CHAMPIONI (14)Wakati wa chakula cha mchana ukawadia.
TUZO CHAMPIONI (16) TUZO CHAMPIONI (1)TUZO CHAMPIONI (26) Wafanyakazi wa Global wakifuatilia kwa karibu utoaji tuzo.
TUZO CHAMPIONI (28) TUZO CHAMPIONI (29) Picha za pamoja kwa walionyakuwa tuzo hizo.
TUZO CHAMPIONI (30)Picha ya pamoja ya wandishi wa Championi.

PICHA NA RICHARD BUKOS NA MUSSA MATEJA/GPL

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu