Monday, November 16, 2015

MAYUNGA NALIMI MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC STARS AONDOKA NCHINI

 Mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga Nalimi akiongea na waandishi (hawapo pichani) wakati wa tukio la kumuaga kwa ajili ya kwenda kurekodi video ya mziki na kupata mafunzo toka kwa mwanamuziki wa kimataifa Akon nchini Marekani. hafla fupi ya kumuaga iliyofanyika katika makao makuu ya ofisi ya Airtel Morocco jijini Dar Es Salaam. Pichani katikati ni Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde, akifatiwa na Mwalimu wa sauti Tony Joet.
Afisa uhusiano na mwandamizi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Aristed Kwizera (kushoto) akimuaga mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga Nalimi kwa ajili ya kwenda kurekodi mziki na kupata mafunzo toka kwa mwanamuziki wa kimataifa Akon nchini Marekani , katika hafla fupi ya kumuaga iliyofanyika katika makao makuu ya ofisi ya Airtel Morocco jijini Dar Es Salaam. Anayeshuhudia (katikati), ni Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania jane matinde .

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu