Thursday, November 19, 2015

MHESHIMIWA JOB NDUGAI NDIYE SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Aliyekuwa Naibu Spika Job Ndugai katika uongozi wa serikali ya awamu ya 4 hatimaye leo Novemba 17, 2015 ameunyaka Uspika baada ya kuwagaragaza wenzake wapatao 7, kwa kunyakua kura 254 sawa na 70%.

Mheshimiwa Job Ndugai ndiye Spika mpya wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu