Wednesday, November 4, 2015

MTEMVU ATEKELEZA AHADI KWA UVCCM WILAYA 3 ZA MKOA WA DAR

 Mtemvu akiongea na wana habari (pichani hawapo) baada ya kuwakabidhi Pikipiki  Makatibu UVCCM  wa Wilaya  3 Mkoa wa Dar es Salaam ambapo Temeke walikwisha pewa  yakwao
  Mtemvu akimkabidhi Pikipiki Mjumbe Kamati ya Utekelezaji Wilaya ya Kinondoni kwa niaba ya Katibu UVCCM kuwa na udhuru  baada ya kuwakabidhi Pikipiki  Makatibu UVCCM  wa Wilaya  3 Mkoa wa Dar es Salaam
 Mtemvu akimkabidhi Pikipiki Katibu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Kisamba Kidando
 
Katibu wa UVCCM Wilaya ya Ilala Muhsin Zikatim akiongea na wanahabari (pichani hawapo) kwa niaba ya wenzake  baada ya kukabidhiwa pikipiki hizo.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu