Monday, November 9, 2015

SHEREHE ZA KUMUAPISHA RAIS MPYA DK. JOHN MAGUFULI ZAFANA JIJINI DAR

Rais Dk. John Magufuli akila kiapo cha kuwa Rais wa Tanzania, mbele ya Jaji Mkuu Othman Chande. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue na kushoto ni Rais mstaafu Jakaya Kikwete. 
PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.
Rais Dk. John Magufuli akiwa ameshika mkuki na ngao baada ya kukabidhiwa na wazee katika hafla ya kumuapisha iliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akila kiapo cha kuwa Rais wa Tanzania, mbele ya Jaji Mkuu Othman Chande. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue na kushoto ni Rais mstaafu Jakaya Kikwete.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa akisoma neno la baraka mara baada ya kumaliza kuapishwa rais Dk. Magufuli.
Viongozi wa dini wakitoka jukwaani mara baada kumaliza zoezi la kuapishwa Rais Dk. John Magufuli.
Rais aliyemaliza muda wake Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wake Dk. Bilal mara baada ya kumaliza kuwapishwa rais mpya Dk. John Mafufuli.
Wananchi waliojitokeza...
Rais wa Awamu wa Tatu, Benjamini Wiliam Mkapa akiingia uwanjani.
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini Kardinali Pengo akiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa pamoja wa Shein Mkuu wakielekea jukwaa kuu.
Rais wa Zanzibar Shein akiwa na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed wakiongozwa jukwaa kuu.
Rais Dk. John Magufuli akikagua gwaride.

Gwaride.

Wageni waalikwa.
Rais aliyemaliza muda wake Dk. Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi mara baada ya kuwasili uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Rais aliyemaliza muda wake Dk. Jakaya Kikwete akikagua gwaride.
 Rais aliyemaliza muda wake Dk. Jakaya Kikwete akiimbiwa wimbo wa taifa.
 
Rais Dk. John Magufuli  akisalimia na mkewe mama Janeth Magufuli.
Rais Dk. John Magufuli  akisalimia na Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma.
Rais Dk. John Magufuli akisalimiama na Rais wa Zanzibar Shein.
Rais Dk. John Magufuli akiteta jambo na rais aliyemaliza muda wake Dk. Jakaya Kikwete.
Rais aliyemaliza muda wake Dk. Jakaya Kikwete akiwa na makamu wake Dk. Bilal wakiaga wananchi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu