Wednesday, November 18, 2015

TIGO YADHAMINI TAMASHA KUBWA LA MTIKISIKO MJINI SONGEA

 Wasanii chipukizi wa Songea, Mary na Mwana King Nizo wakitumbuiza kwenye Tamasha la Mtikisiko lililofanyika uwanja wa Majimaji Mjini Songea . Tamasha liliodhmaniwa na Tigo lenye lengo la kupiga vita maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU).
 Kikundi cha Ruvuma Kings toka songea kikitumbuiza kwenye Tamasha la Mtikisiko lililofanyika uwanja wa Majimaji Mjini Songea . Tamasha hilo liliodhmaniwa na Tigo lenye lengo la kupiga vita maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU).
Wacheza shoo wa bendi ya FM Academia wakifanya yao kwenye Tamasha la Mtikisiko lililofanyika uwanja wa Majimaji Mjini Songea . Tamasha hilo liliodhmaniwa na Tigo lenye lengo la kupiga vita maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU).
 Mc Edo wa Ebony fm akifanya yake kwenye Tamasha la Mtikisiko liliofanyika mwishoni mwa wiki uwanja wa Majimaji mjini Songea. Tigo ndio wadhaminiwa tamasha hilo.
 Kiongozi wa bendi ya Fm Academia, Nyoshi El Saadat akiwaongoza wacheza shoo wake kwenye Tamasha la Mtikisiko lililofanyika uwanja wa Majimaji Mjini Songea . Tamasha hilo liliodhmaniwa na Tigo lenye lengo la kupiga vita maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU).
Sehemu ya wateja wa tigo wakipata burudani kwenye uwanja wa majimaji mjini Songea.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu