Sunday, November 22, 2015

WADAU ARCHBOLD NA AGNESS WAMEREMETA LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Wadau waandamizi wa Globu ya Jamii Archbold Josaphat Kiwia na Agnes Samwel Likongo wamemeremeta jana November 21, 2015 katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam. Globu ya Jamii inawatakia Archbold na Agness maisha mazuri na ya furaha!
 Bwana harusi amvisha pete mkewe
 Bi Harusi amvisha pete mumewe 
 Archbold akimwaga wino
Agness naye anamwaga wino
 Wakikabidhiwa hati 
 Kwa furaha wanaonesha hati zao
 Baba mchungaji anawatangaza rasmi kama mume na mke
 Furaha ya kumeremeta haina kipimo,,,
 Picha za kumbukumbu na ndugu 

 Picha za kukumbukwa siku hii takatifu
 Selfie za nguvu
 Tabasamu zenye matumaini ya maisha matamu ya ndoa
  Picha zikiendelea
 Hii siku yetu lazima tujidai....
 Hongera wanetu
 Ndugu wakijidai na maharusi
Maharuzi na wapambe wao
 Ni furaha ilioje
Jamani wifi karibu jamani....

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu