Sunday, November 22, 2015

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KWENYE MCHAPALO WA KUZINDUA BUNGE MJINI DODOMA


 Waziri  Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza na  Mke wa Rais Mstaafu wa  Awamu ya Nnne , Mama Salma Kikwete katika hafla fupi  iliyoyofanyika kwenye viwanja vya Bunge mjiniDodoma  baada ya Rais John Magufuli kuzindua Bunge Novemba 2015
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akisalimiana na  Rais Mstaafu wa  Zanzibar, Aman Abeid Karume katika hafla fupi  iliyofuatia  kuzinduliwa kwa Bunge na Rais John Magufuli kwenye  mjini Dodoma Novemba 20, 2015. Hafla hiyo ilifanyika kwenye viwanja vya Bunge
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akifurahia jambo katika mazungumzo na Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (kushoto) na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, Abdallah Bulembo katika hafla fupi ya kuzindua bunge iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 20, 2015.
  Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na  Spika wa Bunge Job Ndugai (kushoto), Mkewe Mary  (wapili kushoto) na  Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila  (wapili kulia) katika hafla ya  kuzindua Bunge iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 20, 2015
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Kassim  akizungumza na baadhi ya wabunge  na waalikwa waliohudhuria hafla fupi  iliyofanyika kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma  baada ya Rais John Magufuli kuzindua Bunge Novemba  20, 2015. Picha na PMO

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu