Thursday, December 10, 2015

AIRTEL WAUNGA MKONO TAMKO LA MHESHIMIWA RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI LA KUFANYA USAFI KAMA SIKU YA MAADHIMISHO YA MIAKA 54 YA UHURU WA TANZANIA

Baadhi ya Wafanyakazi wa Airtel mkoani Songea wakifanya usafi leo katika hospitali ya wilaya ya Nzega Ikiwa ni kuitikia wito wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli wa kutangaza siku ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali hapa nchini.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu