Tuesday, December 15, 2015

BALOZI WA IRAN NCHINI AMTEMBELEA MZEE MWINYI NYUMBANI KWAKE

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha ya maalum kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari, inayoonyesha sehemu ya Utamaduni wa Tanzania, wakati alipomtembelea Nyumbani kwake, Mikocheni, Jijini Dar es salaam leo Desemba 14, 2015.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha yake rasmi kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari, wakati alipomtembelea Nyumbani kwake, Mikocheni, Jijini Dar es salaam Desemba 14, 2015.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari pamoja na Msaidizi wake mpya, Bw. Ali Bagheni. Balozi huyo alifika nyumbani kwa Mzee Mwinyi kwa kumtambulisha Msaidizi wake huyo Mpya, leo Desemba 14, 2015.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu