Friday, December 18, 2015

BODI YA WAKURUGENZI YA UTT-PID YATEMBELEA MIRADI MBALIMBALI YA TAASISI HIYO ILIYOPO KIGAMBONI - TEMEKE

 Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa UTT-PID Mrs. Elpina Mlaki akitoa maelekezo kwa baadhi ya watumishi wa UTT-PID aliombatana nao juu ya utekelezaji wa kazi mbalimbali za miradi na uboreshaji wa Ufanisi kufanikisha miradi hiyo ya upimaji na uuzaji wa ardhi kwa wananchi. Aliyevaa kofia ni Mrs. Janet Mlaki ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya Uwekezaji.

Watumishi wa UTT-PID wakijadiliana jambo wakati wa ziara hiyo ya bodi ya wakurugenzi chini ya Mwenyekiti wake Mama Elpina Mlaki pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya uwekezaji Mrs. Janet Mmari.
---
Bodi ya Wakurugenzi ya UTT-PID chini ya Mwenyekiti wake Mrs. Elpina Mlaki imefanya ziara katika miradi mbalimbali ya uendelezaji na upimaji wa ardhi ikijumishwa uuzwaji wa ardhi hizo inayoendeshwa na Taasisi hiyo katika maeneo tofauti ya Kigamboni Manispaa ya Temeke. Ziara hiyo ilijumuisha maendeleo mbalimbali ya upimaji wa ardhi, uwekezaji wa miundombinu ikiwemo ya barabara pamoja na kukagua miradi ambayo UTT-PID imeingia makubaliano na Taasisi mbalimbali Binafsi.

Miradi hiyo ipo katika maeneo ya Chekeni, Tundwisongani, Mwasonga, Yaleyale Puna pamoja na mradi tarajiwa wa karibu na Fukwe za Amani Gomvu. Uuzaji wa viwanja katika maeneo hayo ni tarajiwa na endelevu.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu