Wednesday, December 9, 2015

CCM YAIPONGEZA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KWA KASI ILIYOANZA NAYO


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM),Ndugu Abdulrahman O. Kinana (Pichani) akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuipongeza Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Rais,Dkt.John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais, Mhe.Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu,Mhe.Kassim Majaliwa kwa kasi nzuri waliyoanza nayo katika utekelezaji wa Ilani ya Chama hicho.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akifafanua zaidi jambo mbele ya waandishi wa habari leo Desemba 8, 2015, katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu  ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam
 Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiendelea kumsikiliza Ndugu Kinana alipokuwa akizungumza mbele yao mapema leo mchana jijini Dar.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu