Wednesday, December 9, 2015

CHEKA UNENEPE…. FA IMETOA SHERIA MAALUM ZA KUINUSURU CHELSEA ISISHUKE DARAJA

1) Chelsea wameruhusiwa kucheza 12 wakiwa nyumbani na 15 wakiwa ugenini...

2) Kama watapata kona 2 mfululizo hiyo itakuwa penati...

3) Kila mechi wamepewa nafasi 13 za kufanya sub ili mambo yaende sawa...

4) Ikitokea mchezaji wa Chelsea amefanyiwa faulo watazawadiwa penalt hatakama faulo hiyo atachezewa kipa wa Chelsea...

5) Kocha Josejose Mourinho amepewa uhuru wa kutoa maelekezo mpaka ndani ya kiwanja wakati mechi inaendelea...

6) Wakifunga goli wakiwa ugenini yatahesabika mawili...

... Masharti hayo yalianza jumamosi lakini kwa masikitiko makubwa wakapoteza mechi kwa 1-0

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu