Thursday, December 10, 2015

ENGAGEMENT PARTY YA MWANAHABARI GEORGE BINAGI NA PENDO KISAKA JIJINI MWANZA

Mwanahabari na Mmiliki wa Mtandao wa Binagi Media Group (BMG) George Marwa Binagi-GB Pazzo (Kulia) jana Desemba 8.2015 aliingia katika ukurasa mpya wa kuelekea katika ndoa baada ya kumtambulisha mchumba wake Pendo Paul Kisaka (katikati) kwa ndugu, jamaa na marafiki katika hafla fupi iliyofanyika katika Ukumbi wa PK Hotel Jijini Mwanza. 
Kushoto ni Shangazi mlezi wa GB Pazzo aitwayo Loyce Nhaluke a.k.a Mamaa Ndundu akishuhudia tukio hilo.
Mwanahabari na Mmiliki wa Mtandao wa Binagi Media Group (BMG) George Marwa Binagi-GB Pazzo akimvisha pete ya Uchumba mwenzi wake Pendo Paul Kisaka.
Pendo and George
Pendo, George na Zab
Kutoka Kushoto ni Shem Aggy, Dr.Tonny @Metro Fm na Filbert Kabago @Passion Fm
Dr.Tonny, Kabago na Anko John

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu