Wednesday, December 16, 2015

KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI MJINI SHINYANGA CHAPIGWA "TAFU " NA TIGO

Sehemu ya chakula mchele, unga na maharage tani 3.9,mafuta ya kupikia lita 100 na sabuni katoni 5,kilichotolewa   na kampuni ya mtandao wa simu za mkononi wa Tigo kwa kituo cha kulelea watoto yatima na wenye albinism cha  Buhangija mkoani  Shinyanga
Wafanyakazi wa kampuni ya mtandao wa simu za mkononi wa Tigo wakiwa kwenye picha ya pamoja na watoto yatima na wenye albinism katika kituo cha Buhangija mkoani Shinyanga,baada ya kuwapa msaada, ambapo walitoa mchele,unga na maharage tani 3.9,mafuta ya kupikia lita 100 na sabuni katoni 5.Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Ali Maswanya akiwakabidhi sehemu ya msaada kwa watoto yatima na wenye albinism katika  kituo cha Buhangija mkoani Shinyanga,ambapo walitoa  mchele,unga na maharage tani 3.9, mafuta ya kupikia lita 100  na sabuni katoni  5
Watoto yatima na wenye albinism cha Buhangija mkoani  Shinyanga,wakicheza kwenye tufe la tigo, baada ya kupokea  msaada wa chakula,ambapo wafanyakazi wa tigo walitoa mchele, unga na maharage tani 3.9, mafuta ya kupikia lita 100  na sabuni katoni.Watoto yatima na wenye albinism cha Buhangija mkoani  Shinyanga,wakiwa wamevaa fulana za tigo,baada ya kupokea msaada wa chakula,ambapo wafanyakazi wa tigo walitoa mchele, unga na maharage tani 3.9, mafuta ya kupikia lita 100  na sabuni katoni 5
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Ziwa Ali Maswanya akizungumza na watoto yatima na wenye albinism katika kituo cha Buhangija mkoani Shinyanga wakati wa kutoa msaada kwenye kituo cha kulelea, ambapo mchele,unga na maharage tani 3.9, mafuta ya kupikia lita 100 na sabuni katoni 5, kushoto ni Meneja wa Tigo mikoa ya Shinyanga,Tabora na Kigoma Kamara Kalembo na Meneja Huduma kwa wateja kanda ya ziwa Beatrice Kinabo (kulia).

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu