Sunday, December 6, 2015

LORI LAPATA AJALI DONGE, ZANZIBAR

Lori lenye namba za usajiri Z188EY lililokuwa likitokea mjini Unguja na kuelekea kusimi mwa Zanzibar lilipata ajali leo katika kijini cha Donge, Zanzibar.

Wakizungumza na Kajunason blog mashahidi waliokutwa eneo la tukio walisema kuwa chanzo cha ajali ya lori hilo ilikuwa ni mwendo kasi maana dereva alikuwa mwendo ulikuwa ukihatarisha hata usalama wa wananchi.

"Kidaraja chenyewe ni cha kupishana gari moja ila huyo dereva alikuwa mwendo kasi kweli nidyo alipokutana uso kwa uso na daladala na kulikwepa kujikuta ananing'inia juu ya daraja", alisema shuhuda.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu