Saturday, December 26, 2015

MKUU WA WILAYA YA IRINGA RICHARD KASESELA AFUNGUA MAFUNZO YA ULENGAJI SHABAHA

S1
Mkuu wa Wilaya ya Iringa akipokea maelezo toka kwa Mshauri wa Mgambo wa Mkoa Luteni Kanali J. Kitita
S2
Mkuu wa Wilaya Bwana Richard Kasesela akiongea na wana Mgambo na kuwaasa kuwa waaminifu kwani wao  ndio walinzi namba moja katika nchi kwani wao wako karibu sana na  wananchi. pia Mkuu wa wilaya alisistiza suala la usafi kama nguzo moja  wapo ya uadilifu.
S3
Mkuu wa wilaya akizindua mafunzo ya shabaha. ambapo mkuu wa wilaya alifanikiwa kulenga 10 kati ya 30 zilienda kwenye shabaha
S4
Mkufunzi wa mafunzo akihesabu shabaha.
S5
Mkuu wa wilaya akionyesha jinsi ya kutumia SMG

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu