Sunday, December 27, 2015

MPIGANAJI EDWIN MJWAHUZI NA HILDEGARDA MASHAURI WAFUNGA PINGU ZA MAISHA


 Mdau Edwin Mjwahuzi ambaye ni Mpiga picha wa Magazeti ya Kampuni ya Mwananchi, jioni ya leo ameamua kuvunja kibanda cha Makapera na kukimbilia kwenye Mjengo wa wanandoa, kwa kufunga pingu za maisha na Bi. Hildegarda Mashauri kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam.
  Mdau Edwin Mjwahuzi na Mkewe Bi. Hildegarda Mashauri pamoja na Wasimamizi wao wakiwa kwenye ibada ya ndoa, iliyofanyika jioni ya leo kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam.
Mdau Edwin Mjwahuzi akimvisha pete Mkewe Bi. Hildegarda Mashauri, wakati wa Ibada ya Ndoa yao iliyofanyika kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam leo.
 Mdau Edwin Mjwahuzi na Mkewe Bi. Hildegarda Mashauri wakiwa ni wenye furaha tele mara baada ya kufunga pingu za maisha na kuwa mwili mmoja, kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam leo. Picha na Othman Michuzi.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu