Friday, December 18, 2015

TIGO YADHAMINI UZINDUZI WA ROCKY CITY MALL: KUFANYA GULIO LA KUUZA BIDHAA MBALIMBALI MWANZA

 Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa Beatrice Kinabo, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Mwanza jana,ambapo jengo la kimataifa la biashara(Rock City Mall) limekamilika na Tigo watafanya gulio la kuuza bidhaa mbalimbali,kushoto ni Katibu wa Bodi ya wakurugenzi wa Mwanza City Commercial Complex Company Limited Joseph Mlinzi na kulia ni Meneja wa Tigo pesa kanda ya Ziwa Issa Orry
 Meneja wa Tigo pesa kanda ya Ziwa Issa Orry, akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza jana,ndani ya jengo la kimataifa la biashara (Rock City Mall) ambapo limekamilika na Tigo watafanya gulio la kuuza bidhaa mbalimbali, kushoto ni Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa Beatrice Kinabo.
Katibu wa Bodi ya wakurugenzi wa Mwanza City Commercial Complex Company Limited Joseph Mlinzi, akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza jana, kuhusu kukamilika kwa jengo la kimataifa la biashara (Rock City Mall), ambalo wananchi wanaruhusiwa kuingia na kununua bidhaa kuanzia jumamosi wiki hii, kulia ni Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa Beatrice Kinabo, ambapo Tigo wataendesha gulio la kuuza bidhaa zao.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu