Thursday, December 24, 2015

TIGO YAZINDUA DUKA JIPYA MUSOMA MJINI

Mkuu   wa  Wilaya ya  Musoma  Mjini, Mhe. Zelothe Stephen akikaribishwa   na mwenyeji wake, Meneja  Beatrice Kinabo  kabla  ya uzinduzi wa  tawi  jipya la Tigo  Musoma  mjini. Wengine  pichani   Mkuu  wa   Polisi   Mkoa  wa Mara, Philip Kalangi  na    mwakilisi      wa RAC.Meneja wa  Mauzo  wa Tigo Mkoa    wa  Mara Edwin Kisamo  akitoa   utambulisho kwa meza  kuu.
Meneja  wa   Mauzo Tigo  Kanda  ya   Ziwa, Edgar Mapande akiongea na wageni  waalikwa na wanahabari  kabla ya uzinduzi wa  Duka la Tigo wilayani  Musoma Mjini 
Mkuu  wa  Wilaya  ya MusomaMjini ,Mhe.Zelothe Stephen akikata  utepe kufungua  rasmi  duka la TigoMusoma Mjini , anayeshuhudia  ni Meneja huduma kwa  Wateja wa  Tigo kanda ya Ziwa Beatrice Kinabo.
   Meneja  wa  Mauzo Tigo  Kandayaziwa, Edgar Mapande  akimkabidhi simu Mkuu wa  Wilaya  ya  Musoma  Mjini  Mhe. Zelothe Stephen, mara  baada  ya  uzinduzi wa   duka la Tigo Musoma   mjini.
      Mkuu  wa  Wilaya  ya  Musoma Mjini, Mhe.Zelothe Stephen akiongea na waandishi wa habari na wadau  mbalimbali wakati wa  ufunguzi  wa  duka la Tigo   Musoma mjini, Wengine   kutoka  kulia Meneja wa Mauzo Tigo mkoa wa Mara, Edwin Kisamo, Meneja huduma kwa Wateja wa Tigo kanda ya Ziwa Beatrice Kinabo  na Katibu  wa   Mkuu  wa mkoa Bw. Marwa
        Meneja  wa  Mauzo  Tigo Kanda ya  ziwa, Edgar Mapande  akimkabidhi simu   Mkuu  wa Polisi Mkoa  wa Mara, Philip Kalangi  mara baada ya uzinduzi wa  duka la Tigo  Musoma mjini.

No comments :

Truck Driving Schools
Idadi ya Watu